1. NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2021/2022.

Shule ya Sekondari Ruhuwiko inapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wenye sifa za kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2021.

2. SIFA ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

Sifa za Mwanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano anatakiwa awe na ufaulu wa alama C zisizopungua tatu kwa masomo yoyote isipokuwa masomo ya dini.

3. NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO AWALI (PRE-FORM FIVE) 2021.

Masomo ya awali ya maandalizi ya kujiunga na kidato cha Tano yameanza Tarehe 1/2/2021 hadi Juni 2021 kwa wanafunzi wenye sifa za kujiunga na kidato cha Tano mwezi Julai 2021.

4. MICHEPUO INAYOFUNDISHWA A-LEVEL

(i) Michepuo ya Sayansi:-
PCB
PCM
PGM
CBG
CBN

(ii) Michepuo ya Sanaa, Biashara na Uchumi:-
HKL
HGL
HGK
HGE
EGM
ECA

Pakua hapa