Club Day |
Subject Clubs na Debates zinafanyika kila Jumanne kuanzia Saa 1:20pm mpaka 2:40pm. Wanafunzi wanapata mda wa kujadili katika Clubs zao za Masomo na pia baadhi ya Siku kunakuwa na Mdahalo (debate) ambapo wanafunzi wanakusanyika ukumbini kujadili mada ambayo inakuwa imeandaliwa kwa siku husika. Hii ni kuwajengea wanafunzi uwezo wa kujieleza na kupambanua masuala mbalimbali ya kielemi, kijamii na hata ya utamaduni na kimaendeleo. |