Tunazo nafasi za kuhamia kidato Cha Tatu (Form III), Kidato Cha Tano (Form V) na nafasi chache kwa Kidato Cha Pili na Kidato Cha Nne kwa watakaowahi.

Mtihani wa Usaili (Entry Interview) unafanyika kila siku shuleni kuanzia Saa Mbili asubuhi (8:00 a.m) isipokuwa siku za sikukuu na Jumapili.

Fomu za kuomba nafasi za kuhamia zinauzwa Shuleni kwa gharama ya Tsh. 10,000/= tu. Kabla ya Kununua fomu fika ofisi ya Usajili au Ofisi ya Taaluma kujua vigezo na taratibu za kuhamia na kwa Maelezo Zaidi.

Ada zetu ni Nafuu Sana, wahi sasa nafasi ni chache
Mlete mwanao Ruhuwiko Sekondari apate Elimu Bora na Nidhamu Thabiti