Kiako cha shule baina ya walimu na wanafunziBy Ruhuwiko / August 16, 2026 Mkuu wa shule na staff ya walimu pamoja na wanafunzi wakiwa katika kikao cha pamoja kujadili masuala mbalimbali yahusuyo taaluma, michezo, nidhamu nk kilichofanyika tarehe 05 jun 2026 katika ukumbi wa shule (Gen.JJ Mkunda Hall)